ILIKUWA ni siku ya furaha sana kwa Laurian Cholobi na mkewe Felister Sanga wakiwa na furaha baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Immaculata parokia ya Upanga, Dar es Salaam hivi karibuni na baade katika tafrija iliyofanyika ukum,bi wa Urafiki.
Photos Production: MD Digital Company
+255 755 373999/+255 717002303 (Mroki Mroki).
wapambe wakimeremeta
maharusi wakitoka kanisani...PICHA ZAIDI BOFYA KIDEVU MATUKIO
No comments:
Post a Comment