December 23, 2014

YANGA KUAANGALIA UPYA MIKATA YAKE MBALIMBALI UKIWEPO ULE WA AZAM TV

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari hii leo ambapo pamoja na mambo mengine amesema Klabu hiyo imefungua ukurasa mpya wa kiamahusiano na vyombo vya habari na wanahabari na kuzungumzia Mikataba yake mbalimbali ukuwepo ule wa Kuonesha mashindano ambayo Yanga inahusika. Msikilize hapa chini...

Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha awali alizungumzia mikakati mbalimbali ya timu hiyo. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro. 

1 comment:

  1. Huu ni wakati ufaao kwa wanazuoni wa biashara na uchumi kufanya tafiti na kuibuka na hoja zenye mashiko namna Tanzania inavyoweza kujenga mazingira ya kuifanya soka kuwa mchangiaji mzuri wa uchumi wa klabu husika na taifa kwa ujumla.Klabu zetu zina rasilimali watu na vitega uchumi lukuki lakini bado havisogei bila utegemezi wa wafadhili.

    ReplyDelete