Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe. Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama
Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha.Bi Halima Maulid Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Afya katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
No comments:
Post a Comment