AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Mrisho Kikwete kesho Desemba 9 2014 atahudhuria na kagua gwaride lake la mwisho la maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika ambayo baade iliungana na Zanzibar na kuzaliwa Tanzania akiwa na wadhifa wa Rais.
Kikwete baada ya gwaride hilo la miak 53 ya Uhuru atabakisha gwaride la miak 51 Muungano itakayofanyika mwakani kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.
Itakuwa ni mara ya 9 kukagua kwaride hilo la Uhuru tangu aingie madarakani 2005.
Rais Kikwete pia mwakani atapokea heshima wakati wa maadhimisho wa siku ya mashujaa wa taifa hili.
No comments:
Post a Comment