Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimjulia
hali leo Askofu Mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika
hospitali ya TMJ alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata
Igunga Mkoani Tabora. Mwenye shati jeupe ni Askofu Josephat Gwajima.
No comments:
Post a Comment