December 08, 2014

PINDA APOKEA MABEHEWA MAPYA YA TRL LEO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagyua moja ya mabehewa mapya ya TRL yaliyonunuliwa  kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda  kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014  kupokea mabehewa hayo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri  wake, Dr. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli  nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye bandari ya Dar es salaam Desemba 8,2014.

No comments:

Post a Comment