December 21, 2014

RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WA JESHI MONDULI

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza Luteni Usu Edwin Engelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wa jeshi baada kuibuka mwanafunzi bora wakati wa mafunzo ya maafisa wa jeshi yaliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mjini Arusha
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Mstaafu, Edward Lowassa walipohudhuria sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli, mkoani Arusha
Rais Kikwete, akimpongeza afisa huyu wa jeshi
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Rais Jakaya Kikwete, na vingozi wengine wa juu wa serikali na jeshi la wananchi JWTZ, wakiwa katika ;picha ya pamoja na wahitimu
Lowasa, akiteta na maafisa wa jeshi, Kushoto ni mkuu wa majeshi, Jenerali Devis Mwamunyange
Lowasa akiteta jambo na waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifam Dkt. Hussein Mwinyi
Maafisa wa jeshi wakiwa kwenye gwaride
Lowasa akiteta jambo na mkuu wa majeshi, Jernerali Davis Mwamunyange
Maafisa wa hitimu wa mafunzo ya kijeshi, wakiwa kwenye gwaride la kuhitimu
Wimbo wa taifa
Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, akiteta jambo na wazirti mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli mkoani Arusha, Edward Lowasa, (Kushoto) na mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Tibenda

No comments:

Post a Comment