December 21, 2014

PSPF YATOA MSADA WA MADAWATI BUYUNI II - CHANIKA, DAR ES SALAAM

Afisa Uhusiano mwandamizi wa Mfuko wa Pen sheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akipena mikono na Ummy Shaaban, mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Buyuni II, iliyoko Chanika, wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam,wakati akikabidhi msada wa madawati kwa ajili ya shule hiyo mwishoni mwa wiki. (Katikati ni mwalimu mkuu wa shule hiyo, Rogather Palla.
Mwalimu Mkuu wa shule, Rogather Palla (Kulia), akitoa shukrani
Njaidi, (Kushoto), akitoa elimu kupitia vipeperushi kwa baadhi ya walimu wa shule hiyo
Wanafunzi wakibeba dawati kupeleka darasani
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wameketi kwenye madawati hayo
Afisa Uhusiano mwandamizi wa PSPF, Abdul Njaidi, akiwaelimisha wanafunzio hawa wa shule hiyo, kuhusu huduma mbalimbali zitolwewazo na Mfuko huo
Wanafunzi wakishangili msada huo wa madawati

No comments:

Post a Comment