December 21, 2014

PLUIJM AZUNGUMZA NA WANAHABARI MAKAO MAKUU YA YANGA LEO

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Makao Makuu ya Klabu hiyo iliyopo Mtaa wa jangwani Dar es Salaam leo kuhusiana na mikakati ya timu yake. Pamoja nae ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Jerry Muro. Hii ni mara ya kwanza kwa kocha huyo kuzungumza katika mkutano wa namna hiyo tangu arejee kwa mara ya pili katika Klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment