Wafanyakazi
wa kituo cha redio 5 Arusha wakikabidhi misaada mbalimbali katika
kampeni ya "USHINDI"inayoendeshwa na kituo hicho,misaada hiyo ilitolewa
na wahisani mbalimbali kwaajili ya watoto wanaoishi katika vituo vya
watoto yatima Mkoani Arusha,katika Meneja ubunifu wa Redio 5 Vicky
Mwakoyo kushoto ni Sarah Keiya wakiwakabidhi watoto wa kituo cha
kiwohede ndoo ya mafuta ya kupikia kwaajili ya sikukuya Krismass na mwaka mpya jijini hapa jana katika hotel ya world Garden
Wafanyakazi wa kituo cha redio 5
wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kituo cha kiwohede na huruma
katika hotel ya world Garden iliyopo moshono jijini Arusha katika tam
Mkuu wa vipindi wa kituo hicho Mathew Philip akikabidhi moja ya msaada kwa shcha watoto huruma
Watoto wanaoishi katika vituo vya watoto yatima wakishindana kucheza muziki
Grace Joseph(12)wa kituo cha kiwohed akionyesha ujuzi wake wa kucheza katika shindano
Mtoto anayeishi katika mazingira magumu akiwa jukwaani akiimba wimbo wa "NISEME"wimbo wa moto band
Mashindano yakiwa yanaendelea
Wafanyakazi wa Redio 5 wakiwa mzigoni
Meneja
ubunifu wa Redio 5 Vicky Mwakoyo akiwa anamkabidhi zawadi ya kikombe
mshindi namba moja katika shindano la kucheza muziki
Meneja
ubunifu wa Redio 5 Vicky Mwakoyo akiwa anamkabidhi zawadi ya kikombe
mshindi namba mbili baada ya kushinda katika shindano la kucheza muziki
Wafanyakazi wa redio5 wakiwa wanaanda sausage kwaajili ya watoto yatima
Muonekano wa watoto wakiwa katika eneo la kuchezea michezo mbalimbali
Meneja ubunifu wa Redio 5 Bi.Vicky Mwakoyo akiwa Meneja masoko wa Redio 5Bi.Sarah Keiya
Mtangazaji
wa kituo hicho Akiba Kilango ambaye alikuwa MC wa shughuli hiyo akiwa
anaongea na watoto jukwaani kabla ya mashindano ya kucheza kuanza
Wafanyakazi wa kituo hicho wakiwa katika maandalizi ya kuwaandalia watoto mapochopocho
Kampeni ya ushindi ikiwa inaendelea huku watoto wakiwa wanancheza michezo mbalimbali
Wadau wakiwa wanafatilia shindano
Kulia ni mtoto Sharon Nelson akiwa anakabidhi msaada alioleta katika kampeni ya ushindi amewataka watoto wengine kujitolea kusaidia wasionacho
Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi akiwa anafatilia tamasha hilo
Kampuni
Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao
yake makuu jijini Arusha imeeanda tamasha kwa watoto yatima wanaoishi
katika vituo lenye jina "Kampeni ya USHINDI"linalowashirikisha wadau
mbalimbali wa mkoa wa Arusha
Mkurugenzi
wa kituo hicho Robert Francis anachukua jukumu la kuwasihi jamii kwa
ujumla kuwa na tabia ya kuwakumbuka mayatima hasa kipindi hichi cha
sikukuu ili nao wasijione kutengwa
Meneja ubunifu wa Redio 5 Vicky Mwakoyo
alisema kuwa kila mtoto anastahili kuwa na furaha na baadhi yao ni wale
wenye uwezo mdogo ni vyema kuwakumbuka na tusiwatenge na tukifanya hivi
watajiskia vizuri
Meneja
masoko wa Redio 5 Sarah Keiya ametoa shukrani kwa wadau wote
walioshirikiana na kituo hicho kwa kuwezesha kampeni hiyo
kufanikiwa,wadau wakubwa walioshiriki ni Redio 5,Pepsi,Fifis
bakery,Arusha meat,Skytel,Monaban,Vibration duo,Brundful company,World
garden.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
No comments:
Post a Comment