Katibu wa NEC ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar es Salaam jana juu ya uchaguzi wa Serikali za mtaa uliofanyika jumapili iliyopita nchini kote.
Nape amesema hadi sasa CCM imeshinda uchaguzi huo kwa takribani 84% huku akiunga mkono kuwachukulia hatua watendaji wote waliouharibu uchaguzi huo kwa baadhi ya maeneo na kusema hakuna haja ya kuunda tume za uchunguzi katika hili kwani lilikuwa jambo la wazi hivyo sheria zichukuliwa haraka.

Waandishi wa habari wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua dondoo na picha za mkutano huo hii leo.
No comments:
Post a Comment