December 16, 2014

FURAHA YA USHINDI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA JIJINI DAR

 Vijana wakazi wa Kata ya Mwananyamala, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wakibandua picha za wagombea baada ya kumalizika kwa uchaguzi kama walivyokutwa katika eneo la Msisiri ambapo mgombea wa CUF alishinda.
Wakazi wa mtaa wa Bwawani, Kata ya Mwananyamala, Dar es Salaam wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya uchaguizi wa serikali ya mtaa wao jana.
Wakazi wa Mtaa wa Bwawani, Kata ya Mwananyamala, Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam wakishangilia ushindi wa mgombea wao kutoka chama cha Wananchi CUF, aliyureshinda pamoja na wajumbe wake katika matokeo yaliyotangazwa jana mchana.

No comments:

Post a Comment