December 30, 2014

MBUNGE WA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD AENDELEA KUTEKELEZA AHADI ZAKE KATIKA KATA MBALIMBALI

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiwasikiliza Viongozi wa CCM wa Kata ya Konga wakati wa Ofisi ya kata hiyo Mara baada ya Mh Mbunge Kufanya Ukaguzi hiyo Na Kuahidi kutoa Msaada wa Bati 100 Kwajili ya Kumalizia Ujenzi wa Ofisi hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akitoa maagizo kwa Mtendaji wa Kata ya Konga Kutafuta Eneo la Ujenzi wa Shule Hiyo haraka Iwezekanavyo.Mh Abood amemuagiza Mtendaji huyo ndani ya mwezi Mmmoja wa amepata Eneo la Ujenzi wa Shule na Ujenzi Uanze Mara Moja Ambapo Mh Mbunge Amechangia Shilingi Milion 5 za Kuanza Ujenzi Huo .
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiongea na Wato wa Kata ya Kauzeni  mara baad ya Kuwasili katika Kata hiyo kwajili ya Kusikiliza Kero Zinazowakabili wakazi wa Kata Hiyo.
Baadhi ya wakazi wa Kata ya kauzeni walioudhuria Mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akisisitiza Jambo wakati akielezea Namna ya Kutatua Kero kubwa ya Maji Inayowakabili wakazi wa Kata ya Kauzeni Iliyopo Manispaa ya Morogoro Ambapo Mh Aziz Abood Ametoa Million 5 Kwajili ya Kutekeleza Mradi wa Maji wa Kata Hiyo Ili Kutatua Kero Hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akitoa Onyo wa Watendaji wa Kata za Jimbo la Morogoro Mjini Kutumia Fedha Zinazoletwa katika Kata Hiyo kwa Maendeleao ya wananchi lasivyo Watakiona kwa wale watakaofuja  Fedha za Wananchi.
Bi Asha Ally akieleza Kwa Uchungu Kero Kubwa ya maji Inayowakabili wakazi wa Kata ya Kuuzeni.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiandika Kero za wananchi wa kata ya Kauzeni Mara baada ya Kuwapa nafasi wa kata Hiyo kueleza Kero zao.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi vifaa vya Michezo wa Timu ya kata ya Kauzeni kwajili ya Kuendeleza Michezo ndani ya kata hiyo
Wachezaji wa Timu ya Mzinga ya Morogoro wakimsikiliza  Kwa makini Mbunge wa Morogoro Mjini alipowatembelea Leo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akikabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu ya Mzinga ya Morogoro akiwa kama Mdau Mkubwa wa Michezo hasa Mpira wa Miguu
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea na wandesha bodaboda kutoka kata ya mzinga namna wanavyokabiliwa na changamoto zinazowakabilikatika biashara yao.

No comments:

Post a Comment