December 15, 2014

ALIYEPOTELEWA NA MBUZI WAKE

Mfugaji yeyote aliyepotelewa na mbuzi wake Beberu wa Maziwa, Awasiliane na Ndugu Manyerere Jacton kwa simu 0713335469. 

Mwenye mbuzi anatakiwa awe na uthibitisho wa umiliki wake. Mbuzi huyo kwa sasa yupo  nyumbani kwa Manyerere.  Akipatiwa huduma zote. Hii ni kuonyesha kuwa bado tanzania ina waungwana. Taarifa hii ni ya kweli wala si utani au kuchangamsha baraza.

No comments:

Post a Comment