![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfYquBzE9XEMtkz3a3_I4Z7NO96bYAtUCmxk_2JISWrHJITkQftlMKkqgtmM8BgwEHLzVx-5UXc_tzEzS2SPrTvKyB8BnZ3F4zkagRNsqLSfiz04h7_cvnphARHQiGozZ-id8gvlqdIuk_/s1600/2.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnu-tdMu31Ytqhyphenhyphene2qP8JPMHxKNgqefnUHoebNkEfn0JcF5BWXBY2EwybepEKmm3VPh8JdTNjDO6onBlzQqHlGsMK01oScnwi1Ut1RUox_zMscpR1W6D2mW5gvwwYohePM-28yvf9kkrzs/s1600/1.jpg)
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen
Wassira akitoka nje ya ukumbi wa white house baada ya kutumia zaidi ya
masaa matatu akihojiwa na Kamati.
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
Naibu Waziri wa
Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
0 comments:
Post a Comment