Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakijumuia na wenzao kufurahia mwaka mpya katika ufukwe wa bahari ya hindi eneo la Coco leo.
Picha za kumbukumbu nazo zilipigwa na mpigapicha nae akapigwa picha na mpigapicha.
Ni furaha tu kwa kila mtu ya kuuona mwaka 2014.
No comments:
Post a Comment