Waumini wa Kikristo wakiwa katika ibada ya mkesha wa Mwaka Mpya 2014 katika Kanisa la KKKT Azania Front jana.
Vijana wa KKKT Usharika wa Azania Front wakifanya yao mbele za Mungu katika sifa na kuabudu.
Kanisani St Joseph nako misa ya mkesha wa mwaka mpya ilifanyika na mamia ya waumini wa kanisa hilo walishiriki.
Wadau wa Temeke magorofani nao walifanya yao kuukaribisha mwaka mpya ikiwa ni pamoja na kulipua fataki ikiwa ni shamra shamra tu za mwaka mpya.
No comments:
Post a Comment