Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza
katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni
yake ni mkewe mama Regina Lowassa.
Lowassa akiwasalimia wageni waalikwa.
Wageni waalikwa mbalimbali
Mwenyekiti wa wenyeviti wa uvccm Manko Hiru akizungumza katika sherehe hizo
Akizungumza na Naibu waziri wa ardhi na nyumba OleMedei
No comments:
Post a Comment