January 06, 2014

BARABARA ZA 10% ZINAVYOKUWA


Tuta la lami likiwa limeibuka katikati ya barabara ya St Mary’s, Tabata  wakati barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 1.6 ikiwa imejengwa miezi michache iliyopita na kampuni ya Del Monte (T), kwa Sh milioni 974 za Mfuko wa Barabara. Zipo taarifa kuwa Meya wa Manipaa ya Ilala, Jerry Slaa alishaagiza uchunguzi ufanyike lakini barabara hiyo ianzidi kuharibika.

No comments:

Post a Comment