Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada lao la maua
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Anne Makinda na Naibu wake Mhe Job Ndugai wakiweka shada lao la maua
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka shada la maua
Msaidizi maalum wa marehemu akiweka shada la maua. Picha zaidi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment