January 06, 2014

KESI YA ZITTO KABWE VS CHADEMA HII LEO

 Wakili wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Zitto Kabwe katika kesi yake ya Kupinga kujadiliwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema, Albert Msendo (katikati) akisindikizwa na wanachama wa Chadema walio wa tiifu kwa Zitto Kabwe jana wakati akitoka Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo hukumu ya kesi yao itatoka kesho saa nane.
 Ulinzi Mahakama Kuu ulikuwa wakutosha
 Watu walipita mbali
 Doria ya Polisi ilikamilika
Wanachama wa Chadema wabao Muunga Mkono Zitto Kabwe wakiwa na mabango yao mbali na Mahakama.

No comments:

Post a Comment