December 30, 2013

RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea rasmi Rasimu ya Katiba Mpya ambayo itajadiliwa hapo baade na Bunge maalum la Katiba. Rais Kiwete amepokea Rasimu hiyo kutyoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba katika Makabidhiano yaliyofanyika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo. BOFYA HAPA KUSOMA  RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

No comments:

Post a Comment