December 30, 2013

Lowassa akutana na wanafunzi wa Chuo kikuu cha mount Meru Arusha

Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisikiliza malalamiko ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo kikuu cha Mount Meru ambao alimfuata Mh Lowassa nyumbani kwake Monduli kumpa kilio chao cha kucheleweshewa mikopo ya masomo na kuwafanya kuwafanya kutokujua hatima yao.

No comments:

Post a Comment