December 13, 2013

Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo

 
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akingoza kikao cha kamati kuu ya CCM kilichofanyika katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma leo.Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na kulia ni katibu Mkuu wa CCM Bwana Abdulrahman Kinana.

No comments:

Post a Comment