Maelfu ya waombolezaji ambao ni raia wa Afrika Kusini na wasio raia wa Afrika Kusini wakiwa katika foleni ndefu kuingio akatika Jengo la Union kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa kwanza Mweusi na mzalendo aliyepigania uhuru wa nchi hiyo, Nelson Mandela. Leo wananchi wa kawaida wamepata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kabla ya mazishi ya kiongozi huyo ambaye kifo chake kimeitikisa dunia yatakayo fanyika kijijini kwake Bunu.
No comments:
Post a Comment