December 01, 2013

NDERUMAKI WA TSN, MISS TANZANIA HOYCE TEMU WALA NONDO ZA UZAMILI SAUT

Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Serikali kama Daily News na Habari Leo Bw Gabriel Nderumaki (kulia) akiwa na aliyekuwa Miss Tanzania, Hoyce Temu pamoja na Afisa Uhusiano kutoka office ya Rais anayeshughulikia mazingira, Lulu Musa wakisoma kijitabu  cha matokeo  ya wahitimu wa mahafali ya 15 ya Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine yaliyofanyika jana jijini Mwanza. Wote watatu walihitimu shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Umma katika chuo hicho.
 Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Serikali kama Daily News na Habari Leo Bw Gabriel Nderumaki (katikati) akijadiliana na wahitimu wenzake wa shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Umma wakati wa mahafali ya 15 ya Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine yaliyofanyika jana jijini Mwanza.
 Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Serikali kama Daily News na Habari Leo Bw Gabriel Nderumaki (kushoto) akiwa pamoja na wahitimu wenzake wakati wa mahafali ya 15 ya Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine yaliyofanyika jana jijini Mwanza. Bw Nderumaki alihitimu shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Umma.

No comments:

Post a Comment