December 01, 2013

MSUYA ASHINDA TAJI LA EBSS 2013

 Msanii chipukizi aliyeonesha uwezo wa hali ya juu kiasi cha kulishawishi jopo la majaji wa Shindano la kutafuta vipaji la Bongo Star Search (BSS) linalodhaminiwa na kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel kupitia huduma yake ya Epiq, Emmanuel Msuya ameshinda taji hilo na kuondoka maskani na kitita cha Shilingi Milioni 50.  Msuya alishnda taji hilo usiku wa kuamkia leo baada ya kuwabwa wenzake wengine chini pichani.
Msuya alikuwa na uwezo mkubwa na alikuwa akishindana vikali na Mwana dada Elizabethj Mwakijambile ambaye pia alikuwa mkali katika mashindano hayo ya mwaka huu. Mbali na kitita hicho pia Msuya atapata wasaa wa kufanya kzi zake za mziki chini ya MJ Records.

1 comment:

  1. sijataka kuamini huyu kaka kachukua ushindi kweli bss ya sasa wanachakachua nimewachukia

    ReplyDelete