Maharusi Moses Majeshi na Ruth Palanjo wakiwa katika pozi la picha wakati ya tafrija yao ya ndoa iliyofanyika Novemba 30,2013 katika Ukumbi wa Tanzanite Complex Mjini Morogoro baada ya ndoa takatifu iliyofungwa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Augustino Mzumbe Morogoro. Bwana harusi ni Mfanyakazi wa Chuo Kikuu Mzumbe Idara ya Fedha ilhali Bi harusi ni Mfanyakai wa Benki ya CRDB tawi la Mandela Mjini Morogoro.
Photos by: MD Digital Compony; +255 755 373 999/+255 717002303
/+255 788 207274.
Alicho kiunganisha Mungu mwanadamu awae yote hata maharusi wenyewe wasikitenganishe.
Majeshi akimvisha pete ya ndoa kama ishara ya kumbukumbu ya ndoa yao Bi harusi Ruth.
Furaha nje ya Kanisa
Wazee kutoka upande wa kiumeni wakiwa katika vazi la Kihaya wakiongozwa na Mzee Magayane (kushoto) Mjomba wa Majeshi.
Picha za kumbukumbu zikapigwa na wapambe kwa staili zao
Kuingia ukumbini maharusi
kulishana keki
Keki kwenda Halmashauri ya Wilaya Kibaha ilitolewa.
CRDB nao walipata sehemu yao ya Keki
Shampeni time...
tukaishi kwa furaha, amani na upendo ...
mkafurahie maisha ya ndoa...
senene ndo ilikuwa mpango mzima
Cool J Josephat Nsana (kushoto) aliongoza meza hii
zawadi zilitolewa kwa kila mtu
Wamesimikwa rasmi kuwa viongozi wa familia yao mpya na kila mmoja alikabidhiwa zana zake za kazi nyumbani kwao. Baba Mundu na mkuki na mama vitendea kazi jikoni.
CRDB kama kawa wazee wa fedha vitu mzigo wakienda na manoti yao kuwatunza maharusi
CRDB team
Home Sweet Home Kimzumbe Mzumbe wakijipanga kwa burudani
Mambo yalikolea hapo
No comments:
Post a Comment