Mohamed
Achume anayelelewa katika kituo cha kule yatima cha New Life Orphans
Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam akikabidhiwa msaada wa gunia la mchele na Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) Ally Changwila (kushoto) ikiwa ni sehemu ya vyakula mbalimbali
vilivyotolewa na mamlaka hiyo kwa ajiri ya watoto hao kusherehekea
sikukuu ya krismasi.
Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila akiwakabidhi msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya ambao
ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home
kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa
ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila (kushoto) akiwa na wafanyakazi wenza katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha
New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Baada ya
kuwa kabidhi msaada wa vyakula mbalimbali yakiwemo mafuta ya kupikia ,
mchele na sukari.
Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila akiwakabidhi msaada wa mafuta ya kula Mohamed Achume ambaye ni miongoni mwa watoto
wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home kilichopo
Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa ikiwemo
mchele na Maharage.
No comments:
Post a Comment