Washiriki wa semina ya siku 10 ya mafunzo ya ushirikishwaji wa
wakandarasi wanawake katika kazi za barabrani, kutoka katika mikoa ya
Kilimanjaro, Tanga, Geita, Manyara, Arusha, Singida, Da es salaam, Katavi na
Pemba, yaliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi, katikia ukumbi wa Kilimanjaro
Cranes, Mkoani Kilimanjaro.
*****
*****
WIZARA yua ujenzi imetoa mafunzo kwa wanawake wakandarasi kuhusu
njia ambayo inaweza kuwasaidia kushiriki kikamilifu katika kazi za ujenzi za
Barabara ambapo imebainika kwamba wanawake wengi wakandarasi hukumbana na
changamoto nyingi katika kazi za ujenzi kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa kwa
sasa.
Hayo yamebainishwa leo katika semina ya mafunzo ya IZARA ya Ujenzi,
Barabara na Nyumba na kutoa uwezo kwa wahandisi wanawake kushiriki kikamilifu
katika kazi za barabarani yaliyofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro Cranes na
kushirikisha washiriki zaidi ya 30 kutoka katika mikoa zaidi kumi.
No comments:
Post a Comment