Mshindi wa taji la Redds Miss
Dar Indian Ocean 2013, Lucy Tomeka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na
mshindi wa pili, Sophia Yusuf (kulia) na mshindi wa tatu, Linda Joseph mara
baada ya kutangazwa washindi katika shindano hilo lililofanyika jijini Dar es
Salaam jana.
Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd's Miss Dar Indian Ocean wakiwa katika picha ya pamoja.
Warembo walioshiriki shindano la Redd's Miss Dar Indian Ocean wakicheza show ya Ufunguzi.
No comments:
Post a Comment