MFANYABIASHARA
Costa aliyefariki Mei 3 mwaka huu kwa kuanguka kutoka gorofa ya tisa ya Hoteli
ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam anataraji kuzikwa leo kijijini
kwao Mwika Moshi Mkoani Kilimajaro.
Mwili
wa Marehemu Shirima (47), ulisafirishwa jana mara baada ya kufanyiwa misa
takatifu na kuagwa na ndugu na jamaa Kanisani Kimara Temboni jijini Dar es
Saalam.
Marehemu
Shirima alikuwa ni mfanya biashara wa Urembo wa akina mama na alikuwa akimiliki
maduka kadhaa Kariakoo pia alikuwa akiendelea na Ujenzi wa Jengo la Gorofa
maeneo ya Kariakoo.
Marehemu
ameacha Mjane na watoto 5. Timu nzima ya Father Kidevu Blog inatoa pole kwa
wote waliofikwa na Msiba huo.
No comments:
Post a Comment