Mkuu wa Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara, Christopher Magala
akikabidhi pikipiki kwa kikundi cha Vikoba cha Kijiji cha Mango Kata ya
Mtunguru. Magala akimkabidhi Pikipiki hiyo ya mizigo kiongozi wa Kundi hilo.
Mkuu
wa Wilaya ya Newala Christopher Magala akiizindua boda boda hiyo ya
kikundi hicho waliyoinunua kwa fedha zao ili iwasaidie katika shughuli
za kilimo ikiwa ni pamoja na kusafirishia mazao.
DC Magala akiwasikiliza wanakikundi hao.
No comments:
Post a Comment