April 13, 2013

ZANZIBAR HII LEO



Kamera ya Father Kidevu Blog, wiki hii ilifanya ziara ya kutembelea Kisiwa cha Unguja Mjini Zanzibar na kunasa taswira kadhaa za kisiwa hicho kilicho sheheni mambo mbalimbaIi ya kihistoria nchini Tanzania,pichani ni picha kadhaa zinazoonesha madhari ya Kisiwa hicho cha Unguja na maeneo maarufu kama Ngome Kongwe.
 Hii ni sehemu ya kupumzikia abiria katika feri ya Unguja mjini Zanzibar itumikayo na wasafiri wa Boti.
 
 Majengo ya kale yaliyopo katika fukwe ya Bahari ya Hindi mjini Unguja ambayo ukiingia na Boti Kisiwani humo yanakukaribisha kwa muonekano wake mzuri.
 
 Vyombo vikiwa vimepiga nanga ....

No comments:

Post a Comment