April 13, 2013

MTANDAO WA PR HABARI WAPATA MKOKO WAKE

Gari ya Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/  unaongozwa na mwenyekiti Spear Patrick unatarajia kuzindua hivi karibuni  Gari la mtandao huo ambao litakuwa na matangazo mbalimbali ya kazi za kampuni hiyoo
GARI HIYO INAVYO ONEKANA KWA NYUMA
Mwenyekiti wa  Mtandao wa kijamii wa prhabari.blogspot  Spear Patrick akionesha moja ya upande uliokua na matangazo hayo

Mafundi wakiendelea kuiremba gari hiyo
Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/

Mwenyekiti wa  Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/  Spear Patrickakiwa amepozi

MKOKO WA Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment