Katibu Tarafa wa Tarafa ya Kinamweli Wilayani Itilima mkoa wa Simiyu, Sheila Kikula akiwa ameshikilia majani ya mimea haramu ya Bangi ambayo Ofisi yake kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Itilima na Jeshi la Polisi Wilayani humo ilifanikiwa kuiteketeza katika moja ya mashamba ya wananchi Kitongoji cha Ilula kijiji cha Kabale jana.
Polisi wakipanga matawi ya miti ya Bangi iliyofyekwa katika moja ya mashamba katika kijiji cha Kabale Kitongoji cha Ilula tayari kwa kuiteketeza.
Mkuu wa wilaya ya Itilima Georgina Bundala
akiwasha moto kuchoma bangi iliyofyekwa katika moja ya mashamba katika Kijiji
cha Kabale Kata ya Zagayu Kitongoji cha Ilula.
Wananchi pamoja na maofisa wa Polisi wakishuhudia zoezi hilo la uteketezaji mimea hiyo haramu ya Bangi.
No comments:
Post a Comment