Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho (katikati) akimkabidhi Bi.Khadija Mwanamboka -Mwenyekiti Wa Tanzania Mitindo House (TMH) Barua ya kutambua mchango wao wa Kupiga Vita Ugonjwa wa Ukimwi nchini na kusaidia Watoto yatima wanaoshi na Virusi vya Ukimwi. Kushoto ni Kamishna wa TACAIDS Bi.Faraja Kotta Nyalandu.
No comments:
Post a Comment