Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na
Mkurugenzi wa Catherine Foundation, Catherine Magige wakiwakikabidhi
zawadi mbalimbali kwa watoto wanaolelewa kwenye kituo cha Matumaini cha mjini Dodoma.
***** ******
Asasi ya Kijamii ya Catherine Foundation jana
imetembelea kituo cha kulelea wa watoto cha Matumaini Village kilichopo mkoani
Dodoma ambapo walikwenda kutoa misaada mbalimbali wakiongozwa na Mkurugenzi wa
Asasi hiyo, Catherine Magige.
Katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda ambapo asasi hiyo ilitoa vitu mbalimbali vikiwemo,
Madaftari, Mafuta, Sabuni, Juice, miswaki na dawa zake, mchele, sukari, nguo za
watoto, kanga za wakinadada wanaowalea watoto hao na vingine vingi.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akihutubia
katika hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Catherine Foundation, Catherine
Magige akihutubia katika hafla hiyo jana.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwakikabidhi
zawadi mbalimbali kwa watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho.
Mkurugenzi wa Catherine Foundation, Catherine Magige akiwakiwapa zawadi mbalimbali kwa watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na
Mkurugenzi wa Catherine Foundation, Catherine Magige wakiwakikabidhi
zawadi mbalimbali kwa watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na
Mkurugenzi wa Catherine Foundation, Catherine Magige wakizungumza na
watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho.
Mkurugenzi wa Catherine Foundation, Catherine
Magige akizungumza na watoto wanaolelewa kwenye Kito cha Matumaini Village
kilichopo Dodoma alipokwenda kutoa msaada jana.
Mkurugenzi
wa Catherine Foundation, Catherine Magige akiwa na mtoto mchanga
anaye lelewa katika Kituo cha Matumaini Village mjini Dodoma jana
No comments:
Post a Comment