April 02, 2013

MCHAKAMCHAKA WA BIA YA SERENGETI ‘TUPO PAMOJA KATIKA SHANGWE ZA MAFANIKIO’ ILIVYOKUWA PASAKA HII


Hii ndiyo Serengeti Premium Lager! Bia za Serengeti Lager zinazozalishwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti zikiwa zimepangwa kwa ustadi mkubwa wakati wa Promotion ya TUPO PAMOJA ya Bia hiyo wakati wa Pasaka katika Bar ya Play Time ya jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

 Timu nzima ya kampeni ya Tupo Pamoja wakigongesha chupa zao za bia ya Serengeti kuonesha upendo na kutakiana amani katika mafanikio, sasa tupo pamoja maskani kwako

Washereheshaji wa kampeni ya Tupo Pamoja wakiwatambulisha mabalozi wa bia ya Serengeti

Vijana wa kukimbiza mchakamchaka wa kampeni ya Tupo Pamoja wakifanya vitu vyao jukwaani.

No comments:

Post a Comment