April 29, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UJUMBE MAALUM WA SYRIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Hussam A'ala, wakati akimkaribisha ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana Aprili 28, 2013 alipofika kwa ajili ya mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Hussam A'ala, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam jana Aprili 28, 2013.
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Hussam A'ala, na ujumbe wake wakati alipofika Ofisini kwa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo, jana Aprili 28, 2013.

No comments:

Post a Comment