Msanii wa Muziki
wa Kizazi Kipya wa miondoko ya kufokafoka,Joh Makini akifanya vitu vyake
mbele ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza
waliofurika kwa wingi kwenye viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo
hicho,jijini Mwanza.
Hii ni katika Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya
kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha
wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu ili kuweza kujinyakulia zawadi
mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha taslimu.Kampeni hiyo inajulikana
kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya
Raila Odinga ndani ya Chuo Kikuu Mt. Augustine jijini Mwanza.
Msanii wa Muziki
wa Kizazi Kipya wa miondoko ya kufokafoka,Joh Makini akifanya vitu vyake
mbele ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza
waliofurika kwa wingi kwenye viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo
hicho,jijini Mwanza.
Wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza wakichuana vikali katika Mpira wa
Wavu (Vollyball) kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha
Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu ili
kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha
taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo
lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo Kikuu Mt.
Augustine jijini Mwanza.
Wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza wakichuana vikali katika Mtanange
wa Mpira wa Miguu kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha
Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu ili
kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha
taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo
lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo Kikuu Mt.
Augustine jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment