Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwaasa Waheshimiwa Wabunge kutumia Lugha ya Kistaarabu kuchangia mijadala Bungeni.
Spika
wa Bunge Anne Makinda awaasa Wabunge kutumia Lugha ya Staha ambayo ni ya
Kibunge wakati wa kuchangia mijadala Bungeni. Mhe. Makinda amesema,
kuendelea kutumia lugha ya matusi, kejeli na maudhi kwa baadhi ya
Waheshimiwa Wabunge ni kuendelea kuliondolea hadhi Bunge.
Pamoja
na hilo, wabunge wanatakiwa kujikita katika kuchangia hoja zenye
kutataua matatizo ya wananchi ili kutimiza wajibu wa kila mbunge wa kuwa
wakilisha wananchi. Mhe. Makinda , amesema, fursa ya kila Mbunge
kuchangia lazima ilenge kutatua matatizo ya wananchi na sio kutukanana
na kusahahu jukumu lilomblele ya kila Mbunge.
Katika
Picha ni baadhi ya waheshimiwa Wabunge waliochangia mjadala wa
kupitisha Makadirio na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2013/14 Bungeni Mjini
Dodoma leo.
Mbunge wa Mwibara Mhe. Kangi Lugola, akiomba Mwongozo kwa Spika Bungeni
Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) akichangia Mjadala leo
Mbunge wa Temeke Mhe. Abbas Mtembu akichangia Mjadala
Mbunge wa Ukerewe Mhe. Salvatory Machemli akichangia Mjadala Bungeni leo
Mbunge wa Viti Maalum (CUF) Mhe. Kuruthum Mchuchuli akichangia kwa hisia mjadala leo Bungeni.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na teknolojia Mhe. January Makamba akijibu baadhi ya hoja zilizochangiwa Bungeni leo.Picha zote na Owend David wa Bunge
No comments:
Post a Comment