Meneja
wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam (kulia) akizungumza na
waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Mikutano wa TBL Ilala jijini Dar es
Salaam leo wakati wa kutangaza tuzo za wanafunzi wa elimu ya juu
zijulikanazo kama “Excel with Grand Malt”, zinazota katika Chuo mbali
mbali hapa nchini ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo.Uzinduzi wa Tuzo hizo
utaanza rasmi leo siku ya jumamosi April 20,kwenye viwanja vya Chuo
kikuu Ardhi,jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Kampuni ya
Bia Tanzania (TBL),Dorice Malulu.
No comments:
Post a Comment