KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa
Ubelgiji hapa nchini, Koen Adam, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
jijini Dar es Salaam, leo, Aprili 25, 2013. Wapoli kulia ni Katibu wa
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
No comments:
Post a Comment