Waziri wa
Maliasili na Utalii (wapili Kulia)na Naibu wake, Lazaro Nyalandu
wakiteta na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maimuna Tarishi (wapili kushoto)
na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Nuru Milao kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma Aprili 30, 2013.Wizara ya Maliasili na Utalii leo ndio ilikuwa zamu yao ya kuwasilisha Bajeti ya 2013/2014 na kujadiliwa Bungeni.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 30,2013. Katikati ni
Mbunge wa Kibaha Vijijini, Abuu Hamoug Jumaa.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na na Katibu Mkuu wa Wizara ya
maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dar es salaam Apprili 30,2013.
No comments:
Post a Comment