Rais
wa IBF Africa Onesmo Ngowi katikati akionesha mzani waliopimia mabondia
Thomasi Mashali kushoto na Fransic Cheka kulia katikati ni Promota wa
mpambano huo Adamu Tanaka picha na mpambano wao utakaofanyika siku ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba picha na www.superdboxingcoach.
|
Mabondia
Yusuph Jibaba kushoto akitunishiana misuli na Shabani Mhamila 'Star
Boy' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa mei mosi
utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba picha na www.superdboxingcoach. |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipimwa afya katikati ni mpinzani wake Amosi Mwamakula picha na www.superdboxingcoach. |
Bondia Shabani Mhamila 'Star Boy' akipimwa Afya leo kwa ajili ya mpambano wake |
Bondia Amos Mwamakula akipimwa Afya |
Baadhi ya mabondia watakaopambana kesho wakiwa katika picha ya poz wa pili kushoto ni Thomas Mashali,,Shabani Mhamila 'Star Boy' Ibrahimu Class' King class Mawe' wengine ni wapambe wao katika mchezo huo |
No comments:
Post a Comment