Majuto Omari wa Bloggers FC akikosa bao dhidi ya Radio Maria. Jamaa waliifunga Bloggers FC kwataabu goli 3-0. Lakini Bloggers pia waalinyuka DSJ 5-4 na kuikimbiza dimbani Star TV 3-0.
Ndivyo sivyo zilitokea mechi dhidi ya Watawa Radio Maria.
Blogger Mzee Kitime alikuwa na kazi moja tu ya kuhakikisha watu wanafurahi,
Mjengwa alitoka Iringa kuja kujiunga na kikosi mahiri cha Bloggers FC, hapa akiwa na Chars
Misosi kama kawa...
Netbal nayo ilikuwepo.
TSN wakiendelea na viburudisho.
Kikosi cha Timu ya Bloggers FC kikiwa katika picha ya pamoja. Kikosi hiki kilishinda Mechi 2 na kupoteza Moja. Bofya hapa PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment