Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akimkabidhi tuzo ya
Mpiga Picha Bora 2012, Joseph Senga kutojka Kampuni ya Free Media
inayochapisha magazeti ya Tanzania Daima na Sayari. Senga amepata tuzo
hiyo baada picha aliyopiga ikimuonesha askarti Polisi akimsurubu
Mwandishi wa Habari, Marehemu Daudi Mwangosi wa Kituo cha Televisheni
cha Chanel Ten.
Hongera, ulistahili
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi
mfano wa hundi mshindi wa jumla wa tuzo za EJAT 2012, Lucas Liganga.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi
mfano wa hundi mwandishi mkongwe aliyepata mafanikio.
Mpiga
Picha Bora 2012, Joseph Senga (kulia) akiwa na mpiga picha wa magazeti
ya Uhuru na Mazalendo, Emmanuel Ndege ambaye aliingia katika fainali za
kinyang'anyilo cha kumtafuta mpiga picha bora.
Mwandishi wa Habari wa Mwananchi Communications, Anthony Mayunga akipokea tuzo yake.
Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akimkabidhi tuzo ya mwandishi bora wa habari za watoto, Shadrack Sagati kutoka TSN.
Mpiga Picha Bora 2012, Joseph Senga akiwa na tuzio yake.
Mwandishi mkongwe Hamza Kasongo akiwa na mmoja wa majaji wa tuzo hizo, Mwanzo Milinga
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akizungumza katika hafla hiyo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
Brass Band ya JKT iktoa burudani katika hafla hiyo.
Mpiga
Picha Bora 2012, Joseph Senga kutoka Kampuni ya Free Media,
wachapishaji wa Magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, kabla ya
kukabidhiwa tuzo yake.
Baadhi ya washiriki walioingia katika dfainali za tuzo hizo.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment