Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi Maimuna Taarishi akizungumza na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Christopher Mvula
Veronica Ufunguo Meneja wa Huduma za Utalii Mamlaka ya Ngorongoro akizungumza na wageni waliotembelea katika banda la Tanzania
Mkurugenzi wa Kampuni ya Zara Tours Bi Zainab Ansell akizungumza na wageni waliotembelea katika banda la Kampuni yake kwenye maonyesho ya utalii ya ITB Berlin leo
Mwenyekiti wa Kampuni ya Langilangi Beach ya Zanzibar Tanzania Bw. Abubaker Al Amry akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake waliotembelea banda lake kwa nia ya mazungumzo ya biashara ya utalii Kulia ni Brice Guillet wa Kampuni ya Travel Technology na katikati ni Isabelle Le Bonnec wa kampuni hiyo pia
Wadau kutoka makampuni mbalimbali wakiwa katika mazungumza na wageni wao waliotembelea mabanda yao kwenye maonyesho hayo katika banda la Tanzania
Wadau mbalimbali wa Utalii wakiwa katika mabanda yao na kuzungumza mawili matatu juu ya maonyesho hayo.
Kazi inaendelea
Mwenyekiti wa Kampuni ya Langilangi Beach ya Zanzibar Tanzania Bw. Abubaker Al Amry kulia akiwa katika mazungumza ya kibiashara na baadhi ya wageni katika maonyesho hayo.
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii TTB Dk. Aloyce Nzuki akimpokea na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Christopher Mvula
Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bw. Geofrey Meena akisalimiana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Christopher Mvula
jRose Abdallah Mkurugenzi wa Antelope Safaris Limited akizungumza na wageni wake waliomtembelea katika banda la Tanzania
Baadhi ya Wafanyakazi wa wa Taasisi mbalimbali serikali zinazofanya kazi ya utalii nchini Tanzania wakiwa katika maonyesho hayo tayari kwa kazi ya kupokea na kutoa maelezo kwa wageni mbalimbali wanaotembelea banda la Tanzania katika maonyesho ya ITB yanayofanyika Jengo la Mense Berlin nchini Ujerumani
March 06, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment