December 12, 2012

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NCHINI

Balozi wa Canada nchini, Mheshimiwa Alexandre Leveque akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo alipomtembelea wizarani leo. Serikali ya Canada imeonyesha nia ya kuwekeza katika sekta ya umeme.

No comments:

Post a Comment